Unapunguziwa siku ukisoma kitabu gerezani Brazil ni miongoni mwa nchi ambazo zina idadi kubwa ya wafungwa Duniani, na hii ni kutokana na makundi ya kihalifu, uuzaji wa madawa ya kulevya na vurugu za hapa na pale. Read more about Unapunguziwa siku ukisoma kitabu gerezani