Sir Lewis Hamilton aahidi kufanya vizuri tena Bingwa mara 7 wa Langalanga, Sir Lewis Hamilton amesema anaweza kufanya vizuri na kutoa ushindani katika British Grand Prix, mbio zitakazofanyika kesho Julai 6 huko Silverstone. Read more about Sir Lewis Hamilton aahidi kufanya vizuri tena