"Najua mtanisifia siku nikifa" - Country Wizzy Picha za msanii Country Wizzy Rapa Country Wizzy anasema anajua watu wengi watamsifia siku ambayo hatakuwepo duniani kutokana na kipaji chake, uwezo wake na aliyoyafanya kimuziki. Read more about "Najua mtanisifia siku nikifa" - Country Wizzy