Siwezi mvunjia heshima Olamide-Asake

Msanii Asake amenyoosha maelezo kuwa Msanii Olamide ataendelea kuwa na nafasi kubwa katika maisha yake siku zote hata kama atakuwa Rais wa Marekani bado ataendelea kumuheshimu Legend huyo kutoka Nchini Nigeria Olamide.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS