Baada ya rungu kwa Wambura, TFF yatoa onyo kali

Michael Wambura

Baada ya Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Duniani FIFA kumfungia maisha aliyekuwa Makamu wa Rais, Michael Richard Wambura kujihusisha na masuala yoyote ya mpira wa miguu, Shirikisho la Soka nchini TFF limetoa onyo zito.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS