Wenger kurejea kazi ya ukocha Kocha Arsene Wenger Meneja wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger anajipanga kurudi katika kazi yake ya ukocha, huku ripoti zikieleza kuwa ataifundisha Timu ya Taifa ya Qatar katika kuelekea michuano ya Kombe la Dunia la 2022. Read more about Wenger kurejea kazi ya ukocha