TMA yatoa tahadhari ya mafuriko baadhi ya mikoa

Pichani, moja ya barabara katika jiji la Dar es salaam ikiwa imejaa maji.

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari kwa wakazi wa baadhi ya mikoa nchini kutokana na vipindi vya mvua kubwa zinazotarajiwa kunyesha katika siku tano zijazo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS