Siri ya vigogo upinzani kukutana Zanzibar Viongozi wa vyama vya upinzani wakiwa Zanzibar Viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa vya upinzani nchini wamejichimbia visiwani Zanzibar kwa ajili ya kupatiana mafunzo mbalimbali juu ya mwenendo wa siasa na demokrasia. Read more about Siri ya vigogo upinzani kukutana Zanzibar