Spika afunguka Zitto kutishiwa kifo
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Job Ndugai, ametoa kauli yake baada ya Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Zuberi Kabwe kulalamika kutishiwa uhai na mtu wa usalama wa Taifa ndani ya viwanja vya Bunge siku ya jana Januari 18, mpaka kufikia hatua ya kumuandikia Spika Barua.

