Amri Said apewa heshima ya ukocha Yanga
''Huwezi kukataa, Amri Said ni kocha mzuri na bora lakini pia ameongeza kitu ndani ya Biashara United'', maneno ya Dismas Ten msemaji wa Yanga baada ya timu yake kupangwa na Biashara kwenye mchezo wa raundi ya 4 ya kombe la shirikisho.

