Mambo 10 muhimu ya kufahamu kuhusu Mtukudzi
Kama umeshawahi kuiona filamu ya Neria, basi bila shaka utakuwa unaujua wimbo wa Neria ambao umeimbwa kwa sauti nzuri nzito, ambayo hautachoka kusikia masikioni mwako, huku vinanda vyake vikiusuuza moyo wako na utamu wake masikioni mwako.

.jpg?itok=TK-Ub7CO)