Mizengo Pinda azungumzia maumivu ya Upinzani
Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda ameweka wazi jinsi alivyokuwa akiumizwa na kauli za upinzani dhidi ya uongozi wake na kusema kuwa anaushangaa upinzani kulalamikia uongozi ambao waliulilia kwa muda mrefu.