Kangi aeleza sababu aliowatumbua kuendelea na kazi
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola, amesema yeye alishatoa maagizo ya kuondolewa kwenye nafasi zao kwa Makamanda wa Polisi watatu katika Mikoa mitatu ya kipolisi Temeke, Ilala pamoja na Arusha na kilichobaki ni kutekelezwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.

