Mchezaji aliyeacha soka na sasa ni nyota wa tenisi
Mcheza tenisi, Roberto Bautista Agut ambaye hivi sasa yupo kwenye robo fainali ya michuano ya wazi ya Australia, ameweka wazi kuwa alipenda zaidi soka kuliko tenisi na aliwahi kucheza katika klabu ya Virrareal ya Hispania.

