Malengo mawili ya Manula kwenye mechi ya kesho

Aishi Manula (katikati) akishangalia na sehemu ya benchi la ufundi la Simba

Kuelekea mchezo wa pili wa kundi D, Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya AS Vita Club na Simba, mlinda mlango namba moja wa Simba, Aishi Manula amesema amejiwekea malengo mawili ambayo anataka kuyafanikisha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS