Idriss amkataa Hamisa Mobetto Mchekeshaji, Idris Sultan akiwa na Hamisa Mobetto. Mchekeshaji maarufu nchini, Idris Sultan amefunguka kuhusiana na tuhuma zinazoendelea mtandaoni ambazo zimehusisha uhusiano wake na mwanamitindo, Hamisa Mobetto. Read more about Idriss amkataa Hamisa Mobetto