Whatsapp na Facebook zazuia idadi ya meseji

Watoa huduma wa mitandao ya kijamii ya 'Whatsapp' na 'Facebook' wamepunguza kiwango cha kusambaza ujumbe mfupi wa maandishi ambapo sasa mtumiaji hatoweza kusambaza ujumbe kwa watu zaidi ya watano.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS