Dismas Ten wa Yanga aitumia ujumbe Simba

Kushoto ni Dismas Ten na kulia ni Clatous Chama.

Baada ya ushindi wa Simba wa mabao 3-1 dhidi ya Nkana FC, msemaji wa wapinzani wa Simba nchini klabu ya Yanga Dismas Ten ameipongeza Simba kwa ushindi huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS