Hamisa Mobetto atuhumiwa kukwapua 'mume' wa mtu Mwanamitindo na mwanamuziki chipukizi Bongo, Hamisa Mobetto, ameshushiwa tuhuma za kukwapua bwana wa mwanamitindo mwenzake, anayejulikana kwa jina la Tahiya. Read more about Hamisa Mobetto atuhumiwa kukwapua 'mume' wa mtu