Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Hai akiwa mikononi mwa polisi
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Hai aliyefahamika kwa jina la Kumotola Kumotola amejikuta akiingia mikononi mwa polisi kwa madai ya kulizuia jeshi la polisi kufanya kazi yake.