Wananchi wachoma nyumba na magari Geita

Nyumba na gari vikiwa vimeungua

Watu zaidi ya 20, wakazi wa kijiji cha Nzera Kata ya Nzera, Wilayani Geita  hawana sehemu ya kuishi ufuatia nyumba zao kubomolewa na zingine kuchomwa moto na kikundi cha  watu ambao pia ni wakazi wa eneo hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS