Serikali yakanusha kikundi kuitishia Tanzania
Kwa siku kadhaa za hivi karibuni kumekuwa na taarifa inayosambaa kwa njia ya video ambayo inaonesha kikundi cha watu wakiwa wameketi, wakitumia lugha ya Kiswahili kutishia kuvamia na kushambulia baadhi ya nchi kadhaa za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania.

