Fahamu tahadhari ya Mvua iliyotolewa na TMA

Picha: Mvua ikinyesha

Mamalaka ya hali ya hewa nchini  (TMA), imetoa tahadhari ya uwezekano wa uwepo wa mvua kubwa kwa Mikoa mitano nchini Tanzania, ikiwemo Mtwara, Lindi, Pwani, Ruvuma na Kusini mwa Mkoa wa Morogoro.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS