Serikali kumpa Kiwanja Alikiba, mwenyewe atoa neno
Mkuu wa Wiaya ya iringa Mjini Richard Kasesela akiwa na Alikiba kwenye Hafla kukabidhi vifaa maalum kwenye Hospitali ya Rufaa ya Iringa.
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini Richard Kasesela amesema ameagiza kutafutiwa eneo kwa Mkali wa Muziki wa Bongofleva Tanzania Alikiba kufuatia kuwa mzaliwa wa Mkoa huo.