Tunamshikilia Tito Magoti kwa upelelezi
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, amesema kuwa Jeshi hilo linamshikilia Afisa wa Elimu kwa Umma wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Tito Magoti kwa sababu za kiupelelezi.