Video Vixen atangaza kuwa mke wa pili wa Barakah picha ya msanii Barakah The Prince Video Vixen na mwanamitindo Lecandy, amefunguka na kusema anampenda sana msanii Barakah The Prince, hata kama ana mpenzi wake Najma, yupo tayari kuwa hata mke wa pili. Read more about Video Vixen atangaza kuwa mke wa pili wa Barakah