Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola ajiuzulu Rais Magufuli Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekubali ombi la kujiuzulu kwenye nafasi yake ya Uwaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola kutokana na sababu mbalimbali. Read more about Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola ajiuzulu