Majibu ya Dully Sykes kuhusu wasanii kuwa wakongwe
Picha ya msanii wa muziki Dully Sykes
Msanii wa muda mrefu kwenye BongoFleva Dully Sykes, amesema hana noma yoyote kwa mtu kumwita jina la mkongwe kwa sababu bado anaenda sawa na vijana pia anafanya mziki mzuri.