Juma Nkamia apendekeza Samatta kujengewa sanamu
Aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo na Mbunge wa Chemba), Juma Nkamia amependekeza kujengwa kwa sanamu la Mbwana Samatta, katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, iwe kumbukumbu ya mafanikio aliyoyapata kwa kuwa Mtanzania wa kwanza kuchezea Ligi Kuu ya Uingereza

