Mechi 9 za EPL zamuumiza kichwa Guardiola Pep Guardiola Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amesema anasumbuka kuelewa kwanini kikosi chake kimepoteza mechi tisa kwenye ligi kuu ya soka nchini Uingereza msimu huu. Read more about Mechi 9 za EPL zamuumiza kichwa Guardiola