Kura zapigwa , Trilioni 34.88 zapitishwa Bungeni
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Juni 15, 2020, limepitisha rasmi Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2020/21,kiasi cha Trilioni 34.88, kwa kupigiwa kura za NDIYO 304 na kura za HAPANA 63.

