Kenya yajibu kuhusu kufanyiwa majaribio ya chanjo Chanjo ya COVID-19 Serikali ya Kenya imesema haifahamu mpango wowote juu ya kufanyiwa majaribio ya chanjo ya virusi vya Corona na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Oxford nchini Uingereza. Read more about Kenya yajibu kuhusu kufanyiwa majaribio ya chanjo