Mwanza waanzisha Mobile Clinic, RC apima afya

Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella

Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella, amezindua kliniki inayotembea (Mobile Clinic) kwa ajili ya kuwahudumia wagonjwa waliopo kwenye maeneo yenye uhaba wa huduma za afya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS