Serikali haitaki maneno inataka fedha' - RC Kagera
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti amesema kuwa serikali inaunga mkono wanunuzi binafsi kwenye zao la Kahawa japo wamechelewa sana kuingia sokoni kuanza kununua kahawa za wakulima.

