Spika 'aikataa' hotuba ya Upinzani Salima Mdee Mbunge wa Kawe na Spika Ndugai Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai, ameikataa Hotuba ya Wizara ya Fedha kutoka Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni, kwa kile alichokidai kuwa hotuba hiyo imeandaliwa na Mbunge ambaye hayupo ndani ya Bunge hilo. Read more about Spika 'aikataa' hotuba ya Upinzani