NEC yatangaza tarehe rasmi ya Uchaguzi na Kampeni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza tarehe rasmi ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ambayo ni Oktoba 28, 2020. Read more about NEC yatangaza tarehe rasmi ya Uchaguzi na Kampeni