Ashikiliwa kwa kumuua mama yake na kunywa damu

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Jonathan Shana

Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Daniel Emmanuel (32) anashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kukutwa na damu ya mama yake mzazi Eliyamulika Emmanuel Sarakikiya (79) kwenye kikombe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS