Netball yajipanga kupanda viwango Kimataifa

Kikosi cha timu ya taifa ya Netball ' Taifa Queens'

Chama cha Mchezo wa Netball Tanzania CHANETA kimesema kuanzia mwaka ujao kitaandaa mechi nyingi za kirafiki na mashindano ya kimataifa ili kutafuta viwango vya juu vya ubora wa mchezo huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS