Rosa Ree upande wa kushoto, na Shilole upande wa kulia
Msanii Rosa Ree "Goddes Of Rap" ameshea stori yake akimuhusisha mama yake mzazi na tukio la Shilole kupigwa na mumewe Uchebe baada ya ku-comment kwenye picha za Shilole zikumuonyesha ana alama, makovu na damu.