Mwakalebela kubwaga manyanga Yanga.

Makamu Mwenyekiti wa Yanga ,Fredrick Mwakalebela (Pichani) katika moja ya mazungumzo yake na Waandishi wa Habari za Michezo.

Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Fredrick Mwakalebela amesema kama klabu hiyo imemchoka basi yupo tayari kujiuzulu nafasi yake kutokana na kupewa tuhuma za kuihujumu klabu hiyo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS