Wavuvi zaidi ya 2000 Kunduchi walia na nyavu
Wavuvi na wachuuzi wa samaki zaidi ya elfu mbili katika eneo la Kunduchi pwani waiomba serikali kuu kuingilia kati kuwasaidia baada ya kutakiwa kusitisha kuvua samaki kwa kile kilinachodaiwa kwamba wanatumia nyavu ndogo.

