KATAVI: Amchinja mkewe baada ya kumnyima tendo
Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Dalali Malongo (20), mkazi wa kijiji cha Majimoto Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, ameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali shingoni na mume wake Kisabo Joseph, baada ya kumnyima tendo la ndoa.

