Nondo aeleza atakavyotofautiana na Zitto jimboni
Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo Abdul Nondo, amesema kuwa endapo chama chake kitampa ridhaa ya kupeperusha bendera ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Kigoma Mjini, atahakikisha yale yote ambayo Zitto hakuyafanya yeye anayaanzisha na kuyatekeleza.

