Bondia Hassan Mwakinyo amuangukia Rais Magufuli

Bondia Hassan Mwakinyo (Pichani kati kati) akiwa ulingoni katika moja ya pigano lake.

Mwana masumbwi maarufu nchini Tanzania,Hassan Mwakinyo amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli kuunga mkono jitihada za mabondia kama ambavyo amefanya mambo makubwa kwenye sekta nyingine,ili kuwapa morari wao kufanya vyema na kuitangaza nchi .

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS