Yanga wamlilia mwanachama wao Hayati Rais Mkapa.

Aliyekua Rais wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin William Mkapa enzi za uhai wake.

Imefahamika kuwa aliyekua Rais wa awamu ya tatu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin William Mkapa alikua ni Mwanachama wa muda mrefu wa klabu ya soka ya Yanga yenye maskani yake jijini Dar es salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS