"Mkapa alinifanya nianze kupiga kura" - Shusho
Msanii wa nyimbo za Injili Tanzania Christina Shusho amesema moja ya matukio anayoyakumbuka kutoka kwa Rais wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa ni kupiga kura kwa mara yake ya kwanza na alivyotangaza kifo cha Baba wa Taifa Mwalim Julius Kambarage Nyerere.
