Kocha wa Lipuli atoa angalizo kwa viongozi wake.

Mshambuliaji kinara wa mabao wa Lipuli Paul Nonga(Pichani) akishangilia katika moja ya bao aliloifungia timu yake,lakini nyota huyo hayupo kikosini akishinikiza malipo yake.

Uongozi wa klabu ya Lipuli ya mkoani wametakiwa kutatua mgogoro uliopo baina yao na wachezaji ili kuinusuru timu hiyo kuporomoka daraja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS