Simba, Yanga, Azam na Singida BS kuiwakilisha TZ
Wawakilishi wa Tanzania katika ligi ya mabingwa Afrika na kombe la shirikisho watashuka dimbani leo Oktoba 18,2025 katika viwanja vikubwa viwili, Uwanja wa kimatifa wa Bingu nchini Malawi na New Aman complex Zanzibar.

