Mjane Bi. Haule arudishiwa hati ya nyumba yake

Akizungumza mara baada ya kupokea hati hiyo,Bi. Alice Haule amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali wanyonge na Pamoja na Mkuu wa Mkoa na vyombo vya habari kwa kushirikiana katika kupata haki yake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS