Kiongozi mpya Madagascar aapishwa rasmi
Kiongozi wa mapinduzi wa Madagascar, Kanali Michael Randrianirina ameapishwa kuwa rais kufuatia maandamano yaliyoongozwa na vijana ambayo yalimlazimisha Rais aliyekuwepo madarakani Andry Rajoelina kulikimbia taifa hilo.

